• HABARI MPYA

  Monday, August 07, 2023

  MTANZANIA AWAFUNGA AKINA MESSI MECHI YA KOMBE LA MAREKANI


  MSHAMBULIAJI chipukizi Mtanzania, Bernard Kamungo Alfajiri ya leo ameifungia timu yake, FC Daollas bao dakika ya 45 katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi kabla ya kutolewa kwa penalti 5-3 na Inter Miami ya Lionel Messi kufuatia sare ya 4-4 Uwanja wa Toyota mjini Frisco, Texas, Marekani.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTANZANIA AWAFUNGA AKINA MESSI MECHI YA KOMBE LA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top