• HABARI MPYA

  Wednesday, August 09, 2023

  CHIPUKIZI MTANZANIA AJIUNGA NA ALRAMSI YA UAE


  ALIYEWAHI kuwa mchezaji wa timu ya Vijana ya Simba SC, Andrew Michael amejiunga na klabu ya Al Rams inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Falme za Kiarabu (UAE).
  Mshambuliaji huyo chipukizi mwenye umri wa miaka 19 anakuwa mchezaji wa pili kutoka Afrika Mashariki kwenye kikosi cha Al Rama baada ya kiungo Mganda, Chris Akena.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHIPUKIZI MTANZANIA AJIUNGA NA ALRAMSI YA UAE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top