RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tamasha la Simba Day Jumapili Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo ambalo msanii nyota nchini, Ally Kiba atatumbuiza litahitimishwa kwa mchezo wa kirafiki baina ya wenyeji, Simba SC dhidi ya mabingwa wa Zambia, Power Dynamos.
0 comments:
Post a Comment