• HABARI MPYA

  Saturday, August 12, 2023

  MBEYA CITY YALALAMIKA KUPORWA WACHEZAJI KIBABE NA JKT, MASHUJAA NA GEITA GOLD


  KLABU ya Mbeya City iliyoshuka daraja imezitalalamikia klabu za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mashujaa FC, JKT Tanzania na Geita Gold kwa kusajili wachezaji wake kibabe.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YALALAMIKA KUPORWA WACHEZAJI KIBABE NA JKT, MASHUJAA NA GEITA GOLD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top