• HABARI MPYA

  Friday, August 11, 2023

  NBC YAINGIA MKATABA MPYA UDHAMINI LIGI KUU BILIONI 32.6 MIAKA MITANO


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Theobald Sabi wakisaini mkataba mpya wa udhamini Mkuu wa Ligi Kuu kwa miaka mitano zaidi wenye thamani ya Shilingi Bilioni 32.6 leo kwenye hoteli ya Tanga Beach Resort Jijini Tanga.
  PICHA: NBC KUSAINI MKATABA MPYA NA TFF LRO TANGA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NBC YAINGIA MKATABA MPYA UDHAMINI LIGI KUU BILIONI 32.6 MIAKA MITANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top