• HABARI MPYA

  Saturday, August 12, 2023

  TFF YAZIKUMBUSHA KLABU KUFUATA LESENI ZA WACHEZAJI KARUME


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezikumbusha klabu kufika makao makuu ya bodi hiyo ya kabumbu nchini kuchukua leseni za wachezaji zilizowasajili kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAZIKUMBUSHA KLABU KUFUATA LESENI ZA WACHEZAJI KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top