• HABARI MPYA

  Monday, August 07, 2023

  AZAM FC TAYARI WAPO TANGA KWA MPANGO WA KUBEBA NGAO


  KIKOSI cha Azam FC kimewasili Jijini Tanga jioni ya leo kwa ajili ya michuano ya timu nne ya Ngao ya Jami inayotarajiwa kuanza keshokutwa Uwanja wa Mkwakwani wao wakifungua dimba na mabingwa watetezi, Yanga SC.
  VIDEO: AZAM FC WALIVYOWASILI TANGA LEO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC TAYARI WAPO TANGA KWA MPANGO WA KUBEBA NGAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top