// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ONANA, NGOMA WANG’ARA SIMBA YAICHAPA POWER DYNAMOS 2-0 SIMBA DAY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ONANA, NGOMA WANG’ARA SIMBA YAICHAPA POWER DYNAMOS 2-0 SIMBA DAY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, August 06, 2023

  ONANA, NGOMA WANG’ARA SIMBA YAICHAPA POWER DYNAMOS 2-0 SIMBA DAY


  TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Zambia, Power Dynamos katika mchezo wa kirafiki kwenye tamasha la Simba Day leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Simba SC yamefungwa na wachezaji wake wapya, viungo Mcameroon Leandre Willy Essomba Onana dakika ya tano na Mkongo, Fabrice Luamba Ngoma dakika ya 75.
  Mchezo huo ambao mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ulitanguliwa na burudani ya muziki iliyoongozwa msanii Ally ‘King’ Kiba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ONANA, NGOMA WANG’ARA SIMBA YAICHAPA POWER DYNAMOS 2-0 SIMBA DAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top