• HABARI MPYA

  Tuesday, August 15, 2023

  NAMUNGO FC YAANZA NA KICHAPO CHA JKT 1-0 RUANGWA


  BAO la Martin Kigi dakika ya 43 limeipa mwanzo mbaya Namungo FC nyumbani baada ya kuchapwa 1-0 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YAANZA NA KICHAPO CHA JKT 1-0 RUANGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top