• HABARI MPYA

  Thursday, August 10, 2023

  SINGIDA NA SIMBA ZAKAMILISHA USAJILI WA WACHEZAJI WAKE WA KIGENI


  KLABU za Simba na Singida Fountain Gate zimewsilisha vibali vya wachezaji wake wa kigeni ili waruhusiwe kucheza Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. 
  Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imesema kwamba Simba imewasilisha vibali vya wachezaji 11, wakati Singida imewasilisha vibali vya wachezaji 10 wa kigeni kwa ajii ya michuano ya Ngao ya Jamii iliyoanza jana.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA NA SIMBA ZAKAMILISHA USAJILI WA WACHEZAJI WAKE WA KIGENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top