• HABARI MPYA

    Wednesday, August 30, 2023

    TABORA UNITED YATOZWA FAINI KWA MADUDU YAO MECHI NA AZAM FC


    TIMU ya Tabora United imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kuchelewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Agosti 16, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TABORA UNITED YATOZWA FAINI KWA MADUDU YAO MECHI NA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top