• HABARI MPYA

  Tuesday, August 01, 2023

  TABORA UNITED YAMSAJILI KIPA WA ENYIMBA YA NIGERIA


  KLABU ya Tabora United iliyopanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kama Kitayosce imemsajili kipa John Noble Barinyima (30) kutoka Enyimba International ya kwao, Nigeria.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TABORA UNITED YAMSAJILI KIPA WA ENYIMBA YA NIGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top