• HABARI MPYA

  Tuesday, August 15, 2023

  VARANE AING’ARISHA MAN UNITED OLD TRAFFORD


  BAO pekee la beki Mfaransa, Raphaël Xavier Varane dakioanya 76  limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa  Old Trafford Jijini Manchester.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VARANE AING’ARISHA MAN UNITED OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top