• HABARI MPYA

  Tuesday, August 15, 2023

  MAZOEZI YA AZAM FC KUJIANDAA NA MECHI YA KWANZA YA LIGI KUU


  MSHAMBULIAJI Msenegal wa Azam FC, Alassane Diao akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kesho dhidi ya Kitayosce, Tabora United Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA AZAM FC KUJIANDAA NA MECHI YA KWANZA YA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top