• HABARI MPYA

  Monday, August 07, 2023

  COASTAL UNION YAICHAPA SINGIDA 1-0 MECHI YA KIRAFIKI MKWAKWANI


  BAO la mshambuliaji mpya, Dennis Modzaka aliyesajiliwa kutoka Bechem United F.C. ya kwao, Ghana limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA SINGIDA 1-0 MECHI YA KIRAFIKI MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top