WAZIRI MKUU MAJALIWA ‘AKIPIGA STORI’ NA WAZIRI WA MICHEZO BUNGENI DODOMA
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako Bungeni Jijini Dodoma leo.
0 comments:
Post a Comment