MECHI ya kwanza ya watani wa jadi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC dhidi ya Simba SC, itapigwa Oktoba 23, 2022 Uwanja wa Benjamin Mkapa JijiniDar es Salaam.
Kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu iliyotangazwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi KuuTanzania, Almas Kasongo, Ligi itaanza rasmi Agosti 15.
0 comments:
Post a Comment