• HABARI MPYA

  Friday, July 01, 2022

  WAZIRI MWIGULU ATAKA NAFASI Y MORRISON SIMBA


  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa amevaa jezi ya Simba SC, japokuwa inafahamika ni shabiki na mwanachama wa klabu ya Yanga.


  Hapa Waziri Mwigulu akimpa jezi ya Yanga, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye inafahamika ni mpenzi wa Simba 


  Waziri Dk Mwigulu Lameck Nchemba akiwa na jezi ya Yanga mwaka juzi na chini akiwa na jezi ya Simba juzi

  Picha hii ya juzi aliambatanisha na maelezo; “Wana Simba msihangaike na Morrison (Bernard), BM ni nani buana, usajili bora ni mimi; I’m White and Red,”

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI MWIGULU ATAKA NAFASI Y MORRISON SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top