• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2022

  YANGA SC YASHINDA 9-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO KIGAMBONI


  KLABU ya Yanga imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya kirafiki kujiandaa na msimu mpya baada ya leo kuichapa Friends Rangers mabao 9-0 leo Uwanja wa Avic Town, Somangira nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya Yanga leo yamefungwa na Khalid Aucho na chipukizi aliyepandishwa kutoka kikosi cha pili, Clement Francis Mziza kila mmoja mawili, Fiston Kalala Mayele, Lazarous Kambole, Dennis Nkane, Jesus Moloko na Yacouba Sogne moja kila mmoja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YASHINDA 9-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top