MWANARIADHA Alphonse Simbu wa Tanzania ameshinda Medali ya Fedha kwenye mbio ndefu, Marathoni leo kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini, Birmingham, England.
Simbu amemaliza nyuma ya Vincent Kiplangat ambaye ameipatia Medali ya kwanza kabisa ya Dhahabu Uganda, huku Michael Githae wa Kenya akichukua Medali ya Shaba.
0 comments:
Post a Comment