• HABARI MPYA

  Monday, July 18, 2022

  MAKOCHA WAPYA KUTOKA HISPANIA WAWASILI AZAM FC


  MAKOCHA wapya wa Azam FC kutoka Hispania, Dani Cadena na wa Mikel Guillen wamewasili usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es Salaam tayari kuanza kazi.
  Dani Cadena anakuja kuwa kocha wa makipa Azam FC, wakati Mikel Guillen anakuwa kuwa kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAKOCHA WAPYA KUTOKA HISPANIA WAWASILI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top