• HABARI MPYA

  Wednesday, July 27, 2022

  SIMBA YACHAPWA 2-0 NA HARAS EL HODOUD MISRI

  TIMU ya Simba leo imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Haras El Hodoud katika mchezo wa kirafiki kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya mjini Ismailia.
  Huo unakuwa mchezo wa tatu wa kujipima nguvu kwa Simba katika wiki ya pili ya kambi yao mjini humo, baada ya awali kutoka sare ya 1-1 na Ismailia kabla ya kushinda 6-0 dhidi ya Abo Hamad.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YACHAPWA 2-0 NA HARAS EL HODOUD MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top