• HABARI MPYA

  Wednesday, July 27, 2022

  SPORTS PESA YAMWAGA. NEEMA NZITO YANGA SC  KLABU ya Yanga imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni ya Sport Pesa Tanzania wenye thamani ya Sh. Bilioni 12.335 kwa miaka mitatu.
  Katika mkataba huo mpya, Yanga itapata wastani wa Sh. Bilioni 4 kwa mwaka, ambayo ni ongezeko la Sh. Bilioni 2 kutoka mkataba uliomalizika ambao klabu hiyo ilikuwa inapewa Sh. Bilioni 1 kwa mwaka.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPORTS PESA YAMWAGA. NEEMA NZITO YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top