• HABARI MPYA

  Saturday, July 23, 2022

  SAKHO ALIVYOPOKEWA NA TUZO YAKE KAMBINI SIMBA


  KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho alivyopokewa kambini  jijini Ismailia, Misri akitokea nchini Morocco ambako ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAKHO ALIVYOPOKEWA NA TUZO YAKE KAMBINI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top