• HABARI MPYA

  Tuesday, July 05, 2022

  WAKURUGENZI SIMBA WAMALIZA TOFAUTI ZAO, WAAHIDI MAZURI MSIMBAZI

   

  PICHANI ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC baada ya kikao maalum cha kuzungumza na kumaliza tofauti zao ambacho kimekwenda vizuri na wameahidi mambo mazuri yanakuja Msimbazi.
  Kutoka kulia ni Jerry Yambi, Adam Mgoyi, Mohamed Nassor, Kassim Dewji, Salum Abdallah, Muslah Ruwayh na Crescentius Magori.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAKURUGENZI SIMBA WAMALIZA TOFAUTI ZAO, WAAHIDI MAZURI MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top