• HABARI MPYA

  Wednesday, July 13, 2022

  TAIFA STARS ITAKAYOIVAA SOMALIA KUFUZU CHAN HII HAPA


  KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Somalia, ndani yake akijumuisha wachezaji saba wa Yanga na watano wa Simba.
  Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kikosi hicho kitaingia kambini Ijumaa kuanza maandalizi ya mchezo huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS ITAKAYOIVAA SOMALIA KUFUZU CHAN HII HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top