• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 03, 2022

  MFAUME BINGWA MPYA WBF AFRIKA, CLASS ANG'ARA

  BONDIA Mfaume Mfaume juzi alifanikiwa kutwaa taji la WBF Afrika uzito wa Super Welter baada ya kumshinda kwa Technical Knockout (TKO), raundi ya pili Abdulmonem Said wa Misri.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MFAUME BINGWA MPYA WBF AFRIKA, CLASS ANG'ARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top