• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2022

  SIMBA KUCHEZA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI KESHO MISRI


  KLABU ya Simba kesho Jumatatu itacheza mchezo wa nne wa kirafiki katika kambi yake ya mjini Ismailia nchini Misri dhidi ya Al-Kholood FC.
  Mechi tatu za kwanza Simba ilitoa sare ya 1-1 na Ismailia,ikashinda 6-1 dhidi ya Abo Hamad na kufungwa 2-0 na Haras El Hodoud.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA KUCHEZA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI KESHO MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top