• HABARI MPYA

  Saturday, July 30, 2022

  SENZO MAZINGISA AAMUA KUONDOKA YANGA SC


  KLABU ya Yanga imekubali ombi la Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wake Mkuu, Senzo Mazingiza Mbatha kutoongeza mkataba mpya wa kuendelea na kazi Jangwani baada ya huu wa sasa kumalizika kesho Julai 31.
  Taarifa iliyotolewa na Yanga leo imesema kwamba, 
  Kamati ya Utendaji imemteua Wakili Simon Patrick kuwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SENZO MAZINGISA AAMUA KUONDOKA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top