• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2022

  WAZIRI MCHENGERWA AKUTANA NA NYOTA WA ZAMANI WA COASTAL UNION ULAYA


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akiwa na wachezaji wa zamani wa Coastal Union ya Tanga, Hussein Mwakuluzo (kushoto) na Abdallah Shamuni (kulia), walipokutana Jijini Leicester, England.
  Waziri Mchengerwa yupo Uingereza akiwa ameambatana na msafara wa Tanzania unaoshiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham, wakati Mwakuluzo aliyecheza pia timu ya taifa enzi zake miaka ya 1980, kama Shamuni ambaye ni baba wa mchezaji wa Taifa Stars, Adi Yusuf  wote kwa saaa wanaishi Uingereza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI MCHENGERWA AKUTANA NA NYOTA WA ZAMANI WA COASTAL UNION ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top