• HABARI MPYA

  Wednesday, July 27, 2022

  YANGA WAPEWA SH MILIONI 100 KWA KUTWAA UBINGWA WA NCHI


  RAIS wa Yanga SC, Hersi Said, Mtendaji Mkuu, Senzo Mbatha na baadhi ya wachezaji wakipokea mfano wa hundi ya Sh. Milioni 100 kutoka kwa Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa, Tarimba Abbas kama zawadi baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara  msimu wa 2021/22.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAPEWA SH MILIONI 100 KWA KUTWAA UBINGWA WA NCHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top