• HABARI MPYA

  Thursday, July 14, 2022

  SAID NDEMLA AJIUNGA NA SINGIDA BIG STARS


  TIMU ya Singida Big Stars imemsajili kiungo Said Hamisi Ndemla kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro.
  Ndemla anakuwa mchezaji mpya wa sita Singida Big Stars baada ya kipa Metacha Mnata kutoka Polisi Tanzania, Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United, Aziz Andambwile kutoka Mbeya City, Paul Godfrey ‘Boxer’ kutoka Yanga na Kelvin Sabato kutoka Mtibwa Sugar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAID NDEMLA AJIUNGA NA SINGIDA BIG STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top