• HABARI MPYA

  Tuesday, July 12, 2022

  RAIS HERSI ATEUA MJUMBE WA KWANZA KAMATI YA UTENDAJI


  RAIS mpya wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Ally Said amemteua Gerard Kihanga kuwa Mjumbe mpya wa Kamati ya Utendaji siku mbili tu baada ya Uchaguzi uliomuweka madarakani Jumamosi Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS HERSI ATEUA MJUMBE WA KWANZA KAMATI YA UTENDAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top