• HABARI MPYA

  Sunday, July 03, 2022

  TFF YAMSHITAKI HAJI MANARA KAMATI YA MAADILI


  SEKRETARIETI ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imefungua Shauri mbele ya Kamati yake Maadili ya dhidi ya Afisa wa Yanga, Haji Sunday Manara kwa tuhuma za ukiukaji Maadili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAMSHITAKI HAJI MANARA KAMATI YA MAADILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top