• HABARI MPYA

  Sunday, July 17, 2022

  OKRAH AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO SIMBA SC MISRI


  WINGA Mghana, Augustine Okrah amefunga bao lake lake la kwanza akiichezea timu yake mpya, Simba SC kwa mara ya kwanza leo ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Ismailia katika mchezo wa kirariki leo mjini humo nchini Misri.
  Simba imeweka kambi mjini Ismailia nchini Misri kujiandaa na msimu mpya na baada ya kuanza mazoezi Ijumaa, leo imecheza mechi ya kwanza.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OKRAH AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO SIMBA SC MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top