• HABARI MPYA

  Friday, July 15, 2022

  TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUIVAA SOMALIA CHAN  KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeingia kambini leo kujiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Somalia.
  Mechi zote mbili dhidi ya Somalia zitachezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, ya kwanza Julai 23 na marudiano Agosti 7.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUIVAA SOMALIA CHAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top