• HABARI MPYA

  Thursday, July 07, 2022

  SAKHO MCHEZAJI BORA, MOALIN KOCHA BORA LIGI KUU JUNI


  MSHAMBULIAJI Msenegal wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa kuhitimisha msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Juni huku Abdilhamid Moalin wa Azam FC akiwa Kocha Bora.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAKHO MCHEZAJI BORA, MOALIN KOCHA BORA LIGI KUU JUNI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top