• HABARI MPYA

  Sunday, July 24, 2022

  AZIZ KI MAZOEZINI YANGA IKIJIANDAA NA MECHI YA NGAO AGOSTI 13  KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki (kulia) akiwa na winga chipukizi Mtanzania, Dennis Nkane kwenye mazoezi ya Yanga jana Uwanja wa Avic Town, Somangira, Kigamboni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Simba Agosti 13 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZIZ KI MAZOEZINI YANGA IKIJIANDAA NA MECHI YA NGAO AGOSTI 13 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top