• HABARI MPYA

  Friday, July 01, 2022

  YANGA WATUA ARUSHA KWA FAINALI YA ASFC KESHO


  MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga, Mkongo Fiston Kalala Mayele akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Arusha kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wa Coastal Union Jumamosi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WATUA ARUSHA KWA FAINALI YA ASFC KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top