BAO pekee la Godfrey George dakika ya 22 limeipa Simba ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Kundi A Ligi Kuu ya Vijana U20 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mechi nyingine ya Kundi A leo, Polisi Tanzania imeichapa Namungo FC 2-0, wakati mechi za Kundi C, Mbeya City imeichapa Tanzania Prisons 2-1 na Azam FC na Coastal Union zimetoka sare ya 0-0.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago


.png)
0 comments:
Post a Comment