TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Kundi D Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mechi nyingine ya Kundi hilo, Kagera Sugar imetoka sare ya 0-0 na Geita Gold. Mechi nyingine za leo ni za Kundi B, ambazo mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar wameshinda 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting huku Dodoma Jiji ikitoka sare ya 0-0 na Mbeya Kwanza.
Atalanta needs Lookman’s magic – Gasperine
-
•Club coach ponders Injured Nigerian return Atalanta coach Gian Pero
Gasperini is banking on Super Eagles forward Ademola Lookman to lead their
comeback ...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment