// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC YAACHANA NA MSHAMBULIAJI WAKE PAUL PETER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC YAACHANA NA MSHAMBULIAJI WAKE PAUL PETER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 18, 2022

    AZAM FC YAACHANA NA MSHAMBULIAJI WAKE PAUL PETER


    KLABU ya Azam FC imeachana na mshambuliaji wake, Paul Peter baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka mitano. 
    Peter alianzia kwenye kituo cha kukuza vipaji cha klabu hiyo, Azam Academy, kabla ya kupandishwa timu kubwa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YAACHANA NA MSHAMBULIAJI WAKE PAUL PETER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top