• HABARI MPYA

  Friday, July 01, 2022

  SINGIDA STARS YAMSAJILI ‘MIDO’ AZIZ ANDAMBWILE MWAMBALASWA


  KLABU ya Singida Big Stars imemtambulisha kiungo Aziz Andabwile Mwambalaswa kutoka Mbeya City kuwa mchezaji wake mpya kuekekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  Andambwile mwenye umri wa miaka 22 ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri katika msimu uliomalizika wa Ligi Kuu na amekuwa akihusishwa na klabu nyingine mbalimbali, wakiwemo mabingwa, Yanga SC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA STARS YAMSAJILI ‘MIDO’ AZIZ ANDAMBWILE MWAMBALASWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top