• HABARI MPYA

  Thursday, July 28, 2022

  BARBARA ATUA NIGERIA KUKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO MPYA


  MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez (kulia) akiwa na kiungo Mnigeria, Nelson Esor-Bulunwo Okwa (28) nchini Nigeria ambako amekwenda kukamilisha usajili wake ajiunge na Wekundu hao wa Msimbazi kutoka klabu ya Rivers United ya kwao.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARBARA ATUA NIGERIA KUKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top