• HABARI MPYA

  Sunday, July 17, 2022

  TFF YAAGIZA VIWANJA VIBOVU UKIWEMO MKWAKWANI VIKARABATIWE


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeziagiza timu zinazotumia viwanja vya kadhaa vikiwemo Mkwakwani mjini Tanga, Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na Ilulu mkoani Lindi zivifanyie ukarabati.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAAGIZA VIWANJA VIBOVU UKIWEMO MKWAKWANI VIKARABATIWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top