TIMU ya Singida Big Stars imemsajili kipa namba mbili wa timu ya taifa, Metacha Boniphace Mnata kutoka Polisi Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili. Mnata anakuwa mchezaji mpya wa tano Singida Big Stars baada ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United, Aziz Andambwile kutoka Mbeya City, Paul Godfrey ‘Boxer’ kutoka Yanga na Kelvin Sabato kutoka Mtibwa Sugar.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment