• HABARI MPYA

  Thursday, July 07, 2022

  AZAM FC YAACHANA NA BEKI WAKE YVAN MBALLA


  KLABU ya Azam FC imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa beki wake wa kati, Yvan Mballa baada ya msimu mmoja tangu ajiunge nao kutoka Forest Rangers ya Zambia, kwa mkataba wa mwaka mmoja.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAACHANA NA BEKI WAKE YVAN MBALLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top