• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2022

  BANGALA NA DJUMA SHABANI WAONGEZA MIKATABA YANGA HADI 2024


  MCHEZAJI Bora na kiungo Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita, Mkongo Yannick Bangala ameongeza mkataba wa kuendelea kufanya kazi Jangwani hadi mwaka 2024.

  Aidha, Mkongo mwenzake, beki Djuma Shabani naye ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na majukumu Yanga hadi mwaka 2024.


  Katika Hatua nyingine, Yanga imeunda Kamati ya Wiki ya Mwananchi yenye wajumbe saba, akiwemo Meneja wa Idara ya Michezo ya Azam Media Limited, Tina Korosso.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BANGALA NA DJUMA SHABANI WAONGEZA MIKATABA YANGA HADI 2024 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top