• HABARI MPYA

  Saturday, July 16, 2022

  HATUA YA MAKUNDI NDONDO CUP YAANZA LEO


  MCHEZO wa ufunguzi wa michuano ya ndondo Cup, unafanyika leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Kinesi ambapo timu ya Madenge itashuka dimbani dhidi Sisi Kwa Sisi.
  Mchezo huo utakaoanza  10:00Jioni
  LIVE kupitia kituo cha Television cha TV3 @tv3tz 📺 pekee ndani ya @startimestz.
  Jiunge na @startimestz Leo....
  Lipia kifurushi chako mapema....
  Mambo|Antenna-Tsh15000 tu! Au
  Smart|Dishi-Tsh21000 tu!
  Cc @startimessportstz
  Pakua App ya StartimesOn uweze kuangalia kiganjani mahali popote .
  #ndondocup2022 #twendepamoja. 
  🚨|Ndondo Cup 2022-Hatua ya Makundi:

  Kundi G: Jumamosi 16 Julai,Mchezo wa Ufunguzi-Makundi.

  >>🏟Madenge vs Sisi Kwa sisi
            Saa 10:00Jioni.
   LIVE kupitia @tv3tz 📺 pekee ndani ya @startimestz
  Usikose!

  Jiunge na @startimestz Leo....
  Lipia kifurushi chako mapema....
  Mambo|Antenna-Tsh15000 tu! Au
  Smart|Dishi-Tsh21000 tu!
  Cc @startimessportstz

  Pakua App ya StartimesOn uweze kuangalia kiganjani mahali popote .

  #ndondocup2022 #twendepamoja
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HATUA YA MAKUNDI NDONDO CUP YAANZA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top