• HABARI MPYA

  Friday, July 01, 2022

  WAKONGO WATUPU TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU


  BEKI wa Simba SC, Henock Inonga Baka ‘Varane’ atawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Wakongo wenzake, kiungo Yanick Bangala Litombo na mshambuliaji Fiston Kalala Mayele, wote wa Yanga.
  Orodha kamili ya wanaowania Tuzo za TFF kwa msimu wa 2021/22 zitakazotolewa Julai 7, 2022 jijini Dar es Salaam ni;
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAKONGO WATUPU TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top